TASWIRA YA GARI ALILOPATA NALO AJARI MAREHEMU SHARO MILIONEA NA WAKAZI WA MUHEZA WAFURIKA HOSPITALINI


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani Mkieti ‘Sharo Millionea
Baadhi ya wakazi wa Tanga wakiangalia gari alilokua akiendesha Marehemu Sharo Milionea
Baadhi ya watu wakiliangalia gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR alilokuwa akiendesha msanii wa filamu na muziki Hussein Ramadhani


Gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T 478 BVR likiwa limeharibika kabisa
Mbunge wa Jimbo la Muheza Hebert Mtangi akiwasili nje ya jengo la Chumba cha Kuhifadhia Maiti cha Hospitali ya Teule Muheza kwa ajili ya kushuhudia mwili wa msaniii Sharo Millionea
Wakazi wa wilaya ya Muheza  wakiwa wamefurika nje ya Chumba cha Maiti cha Hospitali Teule Muheza kushuhudia mwili wa Sharo Millionea, aliyefariki kwa ajali ya gari.

No comments

Powered by Blogger.