HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » CHECK OUT: MAHAFALI YA 47 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA DODOMA LEO 1/12/2012

 Wakuu wa Chuo  cha elimu ya biashara kampasi ya Dodoma wakiwa kwenye maandamano ya kuingia ukumbini
  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehama Nchimbi akiwa kwenye maandamano ya mahafari ya 47 ya chuo cha biashara kampasi ya Dodoma
  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehama Nchimbi akiingia ukumbini kwenye mahafari ya 47 ya chuo cha biashara kamasi ya Dodoma
 Baadhi ya wahitimu wakiwa wanakaa ili kuanza mahafari yao ya 47
 Baadhi ya wanachuo wakitunukiwa Stashahada


 Amina Njoka akipendeza kwenye Joho baada ya kupata Stashahada ya Procurement

 


Baadhi ya watu walioudhulia kwenye mahafari ya chuo cha Biashara ya 47 ya kampasi ya Dodoma

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: