Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaliminana na maofisa wa Usalama wa Wilaya ya Kati, wakati
alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kufungua rasmi Kituo cha Polisi
cha Kiboje, kilichpo Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilala
na Kamishina wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa, wakifunua kwa
pamoja kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Kituo cha Polisi cha Kiboje
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Cheti, Saleh Ahmed Said, kutoka Migoz Supermarket, ambaye
ni mmoja kati ya watu waliochangia ujenzi wa Kituo hicho cha Polisi cha
Kiboje, wakati wa hafla za ufunguzi wa kituo hicho zilizofanyika leo
Desemba 26, 2012 Wilaya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilala, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kamishina wa Polisi Zanzibar,
Mussa Ali Mussa, wakati akitembelea kukagua jengo la Kituo cha
Polisi cha Kiboje, baada ya kufungua rasmi jengo hilo lililoanza
kujengwa Februari 14, 2012 na kuzinduliwa leo Desemba 26, 2012, wakati
wa hafla ya ufunguzi huo iliyofanyika Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini
Unguja.
PICHA NA OMR
No comments:
Post a Comment