Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali,
Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Iddi, Rais Mstaafu Alhaj
Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim na Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakishiriki katika mazishi ya Marehemu
Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali Mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija jijini Dar es salam leo
Desemba 29, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi
ya Marehemu Mohamed Aboud Mohamed, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa
Hesabu za Serikali Mstaafu, katika Makaburi ya Ngazija jijini Dar es
salam leo Desemba 29, 2012.
PICHA NA IKULU.





No comments:
Post a Comment