BASI
 LA NGANGA LILILOKUWALINATOKEA MBEYA KWENDA DSM LIMEPINDUKA ENEO LA 
IMEZU  MBEYA AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MBILI ASUBUHI ABIRIA 
MMOJA AMEFARIKI PAPO HAPO NA ZAIDI YA MAJERUHI 40 WAMEPELEKWA KATIKA 
HOSPITALI YA RUFAA MBEYA ABIRIA ALIYEFARIKI AMETAMBUWA KWA JINA LA ENOCK
 LWILA MKAZI WA MAMA JOHN MBEYA NA NIMFANYABIASHARA MWANJELWA
BAADHI YA WAKAZI WA IMEZU WAMESEMA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI 
MWILI WA MAREHEMU ENOCK LWILA  UKIWA UMELAZWA CHINI KUSUBIRI WANA USALAMA KUJA UCHUKUA
| MAREHEMU ENOCK LWILA AMEKUTWA NA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 KATIKA SOKSI NA KWENYE MIFUKO YAKE YA SURUALI INASEMEKEANA ALIKUWA ANAENDA DSM KUNUNUA BIDHAA MBALIMBALI ZA DUKANI KWAKE | 
PICHA KWA HISANI YA KAMANGA



 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment