Huduma za usafiri zimesimama barabara ya kuelekea Airport jijini Mwanza baada ya Polisi kutumia risasi za moto na za machozi kuwakabili waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda kwa kukiuka sheria. Hivyo
kutokana na mvutano huo jeshi la polisi limelazimika kutumia
risasi za moto kuwafukuza waendesha boda boda hao ni kuna taarifa
kuwa baadhi yao wamejeruhiwa vibaya katika vurugu hizo .
-
No comments:
Post a Comment