Kijana
ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja jana alijikutana
kwenye wakati mgumu baada ya kupokea kichapo kutoka kwa askari wa jeshi
la polisi maeneo ya kigamboni mbele ya geti la Chuo Cha Mwl Nyerere
Mtuhumiwa ambaye kosa lake
halikuweza kufahamika kwa haraka (katikatika) akipokea kichapo kutoka
kwa askari polisi hao wawili mara baada ya kukataa amri iliyomtaka
kutulia na kufungwa pingu
Hapa mtuhumiwa alipogoma kupanda kwenye gari la polisi
Wakazi
wa kigamboni Waliojitokeza kuona pambano hilo kati ya mwanachuo na askari
PICHA KWA HISANI YA LUKAZA BLOG
No comments:
Post a Comment