.jpg)
Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema msani wa sanaa hapa nchini
anayefahamika kwa jina la sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika
hospitali ya muhimbili endelea kutufuatilia tutakuletea habari zaidi
baadaye kidogo..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen



No comments:
Post a Comment