BUNGE LAUNDA KAMATI YA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI WA MTWARA JUU YA SUALA LA GESI

 2-baadhi ya wabunge wakipongeza baada ya kuahirishwa kwa kikao leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa  huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
 Baadhi ya wabunge wakifuatilia mjadala leo.
 
 Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia)  na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
 Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akimsikilza mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo (kushoto)

No comments

Powered by Blogger.