HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KIJANA ALA KICHAPO CHA NGUVU MARA BAADA YA KUIBA NYAMA YA NGURUWE (KITIMOTO) NA BIA JIJINI DAR

  Kijana mmojaambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akilia kwa uchungu mara baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kudaiwa ameiba nyama ya Nguruwe (Kitimoto) pamoja na Bia katika glosali jijini Dar es Salaam.
Mmoja ya wasamalia wema akimtetea kijana huyo ambaye alipokea kichapo.
Akijitetea.
Akisaidiwa na wasamalia wema.
Kijana anaedaiwa kuiba nyama ya Nguruwe (Kitimoto) na bia katika glosali iliyopo Namanga jijini Dar es Salaam. 
 
Picha zote kwa hisani ya John Dande.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: