Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina
Lowassa wakiwapungua mikono wageni waalikwa wakati wa hafla ya Chakula
cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya kusherehekea Mwaka Mpya wa
2013,iliyofanyika nyumbani kwake Monduli.
Mbunge wa Jimbo la
Kilindi,Mh. Beatrice Shelukindo (wa pili kulia) akiambatana na Mbunge wa
Jimbo la Bariadi,Mh. Andrew Chenge wakati wakiwasili kwenye hafla ya
Chakula cha Mchana iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa kwa ajili ya kuukaribisha
Mwaka Mpya wa 2013.
Wafanyabiashara maarufu jijini Arusha,Papa King na Mdau Mathias (MNEC) wakiwasili kwenye hafla hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu
na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akihutubia wageni
mbali mbali waliohudhulia hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa
ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013,iliyofanyika nyumbani
kwake,Monduli.
Waalikwa wakipata Chakula nyumbani kwa Mh. Lowassa.
PICHA NA HABARI MSETO



No comments:
Post a Comment