HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » Messi mchezaji bora wa dunia kwa mara ya nne.

 
Mshambulizi wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka wa nne mfululizo. Messi (25) alifunga jumla ya magoli 91 mwaka wa 2012 na aliwashinda wachezaji wengine Andres Iniesta wa Barcelona na Christiano Ronaldo wa Real Madrid.
Messi alikuwa miongoni mwa wachezaji watatu walioteuliwa na jopo la wandishi wa habari na makocha wa timu za taifa, manaodha wa timu hiyo wakiwa ni pamoja na Iniesta na Ronaldo.
Messi alitangazwa mshindi wa tuzo hiyo ya the Ballon d’Or, tuzo ambayo hukabithiwa mchezaji bora wa mwaka katika sherehe iliyofanyika mjini Zurich. 

Kwasasa Mesi ni mchezaji wa kwanza kuwahi kushinda tuzo hiyo ya Ballons d’Or, kwa miaka minne mfululizo, rekodi anayoshikilia na aliyekuwa mchezaji wa Ufaransa na rais wa UEFA kwa sasa Michel Platini.
 
 Abby Wambach, alishinda tuzo kwa upande wa kina dada  
Lionel Messi na Abby Wambach wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kuchukua tuzo za FIFA
Vicente del Bosque, akituzwa kuwa kocha bora.
  
Kama utaki ni wewe kijana kaishafanya ya kwake

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: