| Hoteli walilofikia Yanga nchini Uturuki... ni maraha utamu! |
| Simba watatukoma mwaka huu... makocha wa Yanga, Razak Siwa (kushoto) na Ernst Brandts wakitafakari wakati vijana wao (hawapo pichani) wakiendelea kujifua jana Desemba 31, 2012. |
| Huku tukizubaa lazima tuwe masharo kwa sana... Cannavaro (kulia) na Razak Khalfan wa Yanga wakiwa kwenye uwanja wao wa mazoezi nchini Uturuki jana Desemba 31, 2012. |
| Kutoka kushoto ni dogo Rehani, Mbuyu Twite, George Banda, Hamis Kiiza na Didier Kavumbagu wa Yanga wakiendelea kujifua kwenye kambi yao nchini Uturuki jana Desemba 31, 2012. |



No comments:
Post a Comment