Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa
Benin Mhe Boni Yayi wakiongea katika mkutano na wanahabari Ikulu
Rais Jakaya Mrisho akiongea na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na
Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Mrisho na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais
wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere leo Januari 16, 2013.
Rais Jakaya Mrisho akimuaga Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na
Rais wa Benin Mhe Boni Yayi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere leo Januari 16, 2013.
Picha Na Ikulu









No comments:
Post a Comment