Rais
Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na
Dkt. Salim Ahmed Salim. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu
leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
Wakibadilishana mawazo baada ya kumaliza majadiliano kuhusu katiba mpya.Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu
leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

Waziri Mkuu
Mstaafu Mhe. Cleopa Msuya akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba leo.Wajumbe wa Tume walikutana naMhe. Cleopa Msuya (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akibadilishana
mawazo na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa leo wakijadili suala la utengenezaji wa katiba mpya.Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu
leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na
uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.

No comments:
Post a Comment