Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Watanzania
wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Watanzania wanaoishi Ufaransa wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete
katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe
akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le
Maurice jijini Paris
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Said Ali Mbarouk akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Waziri wa Nishati na Madini
Mhe.Profesa Sospeter Muhongo akihutubia Watanzania wanaoishi Ufaransa
katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akihutubia Watanzania wanaoishi
Ufaransa katika ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Watanzania wanaoishi Ufaransa katika
ukumbi wa Hotel le Maurice jijini Paris
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment