Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikat utepe kuzindua rasmi ujenzi wa
barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa wahandisi wa
kutoka China waliopata kandarasi ya kujenga barabara baada ya kuzindua
rasmi ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya
mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo
barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya
Tabora Mjini toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Suleiman Kumchaya wakati
Rais alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya
mkoa wa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo
barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya Uyui
toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais alipowasili
Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa barabara ya
Tabora-Ndono,kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Tanroads,Eng. Patrick Mfugale
kabla hajazindua rasmi ujenzi wa barabara hiyo akiwa katika ziara yake
ya siku nne ya mkoa huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo
ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega
katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi
kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisikilia maelezo ya Meneja wa TANESCO wa Nzega
akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo nishati hiyo wakati wa
mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika mjini Nzega katika ziara yake ya
siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo
ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi,Dkt. John
Pombe Magufuli, Waziri wa Maji,Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa
Fedha,Dkt. William Mgimwa kabla hajahutubia mkutano mkubwa wa hadhara
mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
PICHA NA IKULU










No comments:
Post a Comment