Baadhi
ya wanafunzi wa shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) wakisikiliza kwa makini wakati wakipewa elimu ya mazingira
wakati walipoenda kupanda miti katika Shule zilizopo Mjini Dodoma
Mmoja
wa Wanafunzi wa shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) Dorry Michael akipanda mti katika Shule ya Sekondari ya
Itenga iliyopo Nkuhungu Mjini Dodoma
Wanafunzi
wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
wakiwa wanapanda Miti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo
Nkuhungu,Wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma
Wanafunzi
wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
wakipanda miti katika Shule ya Sekondari ya Itenga iliyopo Nkuhungu
wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma
Baadhi
ya wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) wakiwa katika Picha ya Pamoja na mratibu wa elimu wilaya
ya Dodoma Mjini mara baada ya Kumaliza zoezi la upandaji wa Miti katika
Shule ya Sekondari Itega iliyopo Nkuhungu, Wilaya ya Dodoma Mjini,
Mkoani Dodoma.
Picha Na Dorry Michael Wa Lukaza Blog UDOM








No comments:
Post a Comment