Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo majirani zake,Mzee
Bernard Malyatabu Mayala (88)
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo majirani zake,Mzee
Bernard Malyatabu Mayala (88) akiwa na mkewe Bi. Bernadetha Kabandime
Msuluba (79) wakati alipowatembelea na kuwajualia hali na kuwatakia heri
ya mwaka mpya wa 2013 kijijini kwao Kibaoni, Mkoani Katavi.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda anaonekana akiulizia bei ya nyama ya mbuzi wakati
akiwa katika kijiji cha Kibaoni,Mkoani Katavi.(Picha na Chris Mfinanga)



No comments:
Post a Comment