Wafanyabiashara wa stend ya Mwenge iliyopo jijini Dar es Salaam wakiwa wanaokoa mali zao baada ya kutoke kwa moto leo.
Hili ni duka mojawapo lililoteketea kwa moto kabisa
Maaskari
waliweka uzio ili kulinda bidhaa za wafanyabiashara wa maduka
yaliyotekete kwa moto leo Mwenge zisichukuliwe na wezi waliokuwa kwenye
tukio hilo.
Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.
Baadhi ya wafanya biashara wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya moto kuteketeza maduka kwa moto leo kwenye stend ya mabasi madogo iliyoko Mwenge jijini Dar es Salaam
Hili ni mojawapo ya maduka yaliyoteketea kwa moto leo kwenye stend ya mabasi madogo iliyoko Mwenge jijini Dar es Salaam
Masalia
ya bidhaa za maduka yaliyoteketea kwa moto leo kwenye Stend ya Mwenge
zikiwa zimetapakaa chini baada ya wafanyabiashara kuokoa baadhi ya
bidhaa zao
Bidhaa zikiwa zimeokolewa nje ya maduka baada ya moto kutokea kwenye stenda ya Mwenge.
Bidhaa zikiwa zimeokolewa nje ya maduka yake baada ya moto kutokea kwenye stend ya Mwenge.
Baadhi ya vitu vilivyoungua kwenye maduka yaliyoko kwenye stend ya mabasi madogo ya Mwenge.
Gari la zimamoto likiwa linaingia kwenye stend ya Mwenge iliyoko jijini Dar es Salaam ili kuzima moto ulioteketeza maduka

Waandishi wa habari wakiwa kazini baada ya maduka yaliyoko kwenye stend ya Mwenge jijini Dar es Salaam kuteketea kwa moto
No comments:
Post a Comment