HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKURUGENZI MKUU WA UNESCO IRINA BOKOVA’S AWASILI NCHINI


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimlaki Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s aliyewasili nchini usiku wa kuamkia leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili nchini. Waliobaki nyuma ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Dkt. Alberic Kacou, Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mh. Begum Taj na Msaidizi wa Mkurugenzi wa UNESCO.
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s akisalimiana na Katibu Mkuu wa Natcom Prof. Elizabeth Kiondo. Wanaoshuhudia tukio hilo Mkurugenzi Msaidizi wa UNESCO Africa Bi. Lalla Aicha Ben Barka (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania Vibeke Jensen (kulia).
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s ( wa pili kulia) akizungumza jambo na mwenyeji wake Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Begum Taj na kulia ni Mwakilishi wa Shirika la UNESCO nchini Tanzania Vibeke Jensen.
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s akibadilishana mawazo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawamba kwenye chumba cha mapumziko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere (VIP Terminal) usiku wa kuamkia leo jijini Dar.
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wenyeji wake Waziri wa Elimu na Maufnzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Begum Taj.
Dk. Shukuru Kawambwa akimsindikiza mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Irina Bokova’s.

PICHA KWA HISANI YA FULL SHANGWE

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: