Mkuu wa Wilaya ya Hai,Mhe.Novatus Makunga amesema kumetokea Maafa mvua yenye upepo mkali jana imeezua
mapaa ya nyumba nne Shirimgungani na nyumba kumi na mbili Kwatito na Migomba zaidi ya mia tatu,misaada ya kibinadamu inahitajika.
Mojawapo ya nyumba zilizoezuliwa paa na kuanguka kabisa kutokana na Maafa
wilayani Hai,nyumba 23 zimeezuliwa mapaa,nne kati ya hizo zimeanguka
kabisa,misaada ya kibinadamu inahitajika kwa ajili ya wahanga wa mvua
hiyo.
Picha kwa Hisani ya Mkuu wa Wilaya
No comments:
Post a Comment