Waziri wa
Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua wimbo maalum
wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All Stars,mbele ya
wadau waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano
wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka
huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka
sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania,kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..
Mkurugenzi wa
Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius
Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa AICC,jijini Arusha.
Meneja wa
kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka NSSF,Rehema
Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau
waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya
Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akichangia moja ya mada
zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi
wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia
akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo
Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini
Arusha.
Mmoja wa
wajumbe wa NSSF,Peter Sumbi aliyekuwa akifanya kazi shirika la Wildlife
Fund akitoa ushuhuda wake,namna alivyopata ajali na kufanikiwa kupata
fao lake la ajali kazini kutoka kwa shirika la NSSF na hatimaye kufaidi
matunda kupitia mfuko huo.
Pichani ni
Mwenyekiti wa wasataafu wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda
wake kuhusiana na namna shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa
shirika la TAZARA,kupitia mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Sehemu ya Wabunge waliopo kwenye mkutano huo.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya watendaji wakuu wa NSSF wakiwa mkutanoni.
Meneja
Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja Mahusiano wa SSRA,Sarah Kibonde
wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Mbunge wa
jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiwa
sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Mh Joshua Nasari (CHADEMA) na
Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana kwenye mkutano wa NSSF.
Baadhi ya
Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri ndani
ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa
Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa
jimbo la Ludewa,Mkoani Njombe,Mh. Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na
baadhi ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa
makini yaliyokuwa yakijiri ndani ya mkutano huo ambao umewakutanisha
wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi Msangi akitoa utaratibu kwa
Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo unaoendelea
,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,kulia
kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori mapema leo asubuhi kabla ya
kuanza kwa mkutano wa shirika hilo.
Wadau.
Mkutano ukiendelea. Picha zote na Othman Michuzi
No comments:
Post a Comment