Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Nilijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu
ya lile swala,
" Unajua nilishachoka kukubembeleza Jun,unaishi kwangu
kila kitu unachofanya ni kwa pesa yangu,mimi nakuomba
unipe mara moja unajifanya mjanja sio?" aliongea kwa
jazba shemeji mpaka nikaogopa
" Shem nikupe nini jaman?" nikauliza
" Nataka kulionja penzi lako,nakuahid mara moja tu na
sitarudia tena" akasema
Niseme ukweli tangu nimezaliwa nilikuwa nimeshatembea
na msichana mmoja peke yake kule kijijini kwetu hivyo
alilotaka shemeji hata raha yake sikuijua sana ndo
maana nikawa nashangaa alivyokomaa shemeji
"
Lakin shemeji, kaka mbona ni handsome na mnafanya ina
maana huridhiki?" nikamuuliza
" Sitaki umuongelee kakako hapa,umesikia?" akafoka
" Samahani basi shem" nikamtaka radhi
" Jun natoa simu hii hapa,nahesabu mpaka tatu uwe
umenikumbatia na kunipa denda moja..." alitoa simu yake
na kisha akaanza kuhesabu
" Mbili......"
" Ta......" hakumaliza kusema nikamkumbatia.
Alinipokea mzima mzima na kusogeza mdomo wake kalibu
na wangu kisha akalazimisha kuzamisha ulimi wake
kwenye mdomo wake,sikuwahi kufanya kitu kama hicho
hivyo nilipambana mpaka akashindwa kutimiza azma yake
" Wee vip?" akafoka kwa hasira
" Me naona kinyaa bana,nitafanya unachotaka ila hili
nisamehe" nikasema
Ukweli tangu nimezaliwa sikuwahi kupewa denda na mtu
yeyote yule hivyo niliona kama kinyaa kufanya hivyo
" Shem na muda wote uliokaa hapa mjini bado ni mshamba
hivyo?" akasema
" Hata kama bana me sijazoea" nikasema
" Kwa hiyo unamaanisha wewe bado ni kuku wa kienyeji?"
akauliza
" Kuku wa kienyeji kivip? Sijakwelewa?" nikasema
" Ina maana haujawahi kufanya mapenzi?" akauliza
" Mapenzi nilishafanya mara moja ila hayo mambo mabaya
unayotaka me siwezi kufanya sijazoea" nikamjibu
" Waaoooooh! Nasikiaga kuku wa kienyeji watam
sana,,dah!
Nashukuru kukupata,niahid kakako akiondoka
utanikuna basi?" akasema
" Af me sipendi uniite kuku wa kienyeji bana, wee
umeomba mara moja bana me nitakupa mara moja tu af
tunaacha" nikasema
" Jidanganye hahahahahaha! Ukionja utaacha? Nikupe ile
style ya mdodoso af nikugeuze chuma ulete nije
kukumalizia na kalichumbage af useme utaonja mara
moja? Tena kuku mwenyewe wa kienyeji? Subir tuone"
aliwaza shemeji peke yake
" Usijal ni mara moja tu na hatutarudia, endesha gari
twende" akasema
Kwa akili yangu ya kijinga na kishamba na mimi niliamin
kweli kuwa tutafanya mara moja kisha tuache.
Nilimwendesha mpaka katikati ya mji kisha nikasindikiza
kwenye maduka yote aliyokuwa anafanya shipping
Nilishangaa kuona ananunua nguo za ndani za kiume
" Shem huon aibu kununua nguo za kiume?"
nilimnong'oneza
" Wee kweli kuku wa kienyeji,cha ajabu nini?" akasema
kwa sauti mpaka nikaona aibu
Tulipomaliza ile shopping turilud kwenye gari kabla ya
kuondoka
" Nimekununulia zawadi mpenzi" akasema
" Shem bana me tena mpenzi, acha bana sio vizur"
nikasema
Akatoa zile boxer na kunikabidhi
" Acha ushamba kuku wa kienyeji nataka uwe kuku wa
mayai, hizi ni za kwako utazivaa siku ya gemu yetu na
kumbuka tukiwa wenyewe niite baby" akasema
Nikashikwa na mshangao!!!!!
ITAENDELEA IJUMAA USIKOSE
No comments:
Post a Comment