Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mahojiano na Mtangazaji wa habari
za michezo wa Televisheni ya Super Sport,Bi. Carol Tshabalala katika
mjadala kuhusu Tanzania inavyo jitahidi kupamabana na ugonjwa wa
Malaria,mjadala huo ulifanyika kwenye kituo cha mikutano cha Sandton
kilichopo jijini Johannesburg Afrika kusini.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika mazungumzo na Rais wa Shirikisho la
Mpira wa Miguu nchini (TFF),Leodiger Tenga wakati wa mjadala wa kuhusu
kupambana na malararia.kulia ni Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda (wa pili kulia) akisaini mpira ikiwa ni ishara
ya kupambana na Malaria kwakupitia michezo.wengine pichani kutoka
kushoto ni Mama Tunu Pinda,Meneja wa mpango wa kudhibiti malaria
nchini,Dkt. Ally Mohamed,Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Mh.
Dkt. Seif Rashid,Mwana muziki marafu nchini Afrika kusini na Balozi wa
kupambana na ugonjwa wa malari,Bibi Yvonne Chakachaka na mwisho ni Mh.
Dkt. Hamisi Kigwangalla (MB).
Mama
Tunu Pinda akisaini juu ya mpira ikiwa ni ishara ya kutumia michezo
kupambana na malaria huku Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisaidia
kumshikia.katikati ni Balozi wa kupamabana na malaria na mwana muziki
marufu nchini Afrika kusini,Bibi Yvonne Chakachaka.
Baadhi ya Wadau waliohusika kwenye hafla hiyo.
Picha na Chris Mfinanga
Picha na Chris Mfinanga
No comments:
Post a Comment