YANGA YAIFUNGA KAGERA SUGAR I-0

 Simon Msuna wa Yanga akichuana na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar, timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kagera ilefungwa bao 1-0. Picha zaidi ni mpambano huo.
 Simon Msuna akichuana na Muganyizi Martin wa Kagera Sugar
 Said Bahanuzi wa Yanga akichuana na  Benjamin Asukile,timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kagera ilefungwa bao 1-0. Picha zaidi ni mpambano huo.
 Frank Domayo wa Yanga akichuana na Daudi Jumanne
 Simon Msuna wa Yanga akichuana na  Malegesi Mwangwa,
timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kagera ilefungwa bao 1-0. Picha zaidi ni mpambano huo.
 Haruna Niyonzima wa Yanga akichuana na Muganyizi  Martin
 Didie Kavumbagu wa Yanga akichuana na Juma Nade,timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kagera ilefungwa bao 1-0. Picha zaidi ni mpambano huo.
 Kavumbagu wa Yanga aakiwa amelala baada ya kudaiwa kukwatuliwa kwenye eneo la hatari mwa Kagera Sugar. Hata hivyo penati iliyotolewa licha ya kusababisha ubishi lakini haikuza matunda baada ya mchezaji wa Yanga aliyeipiga kuipaisha.
 Refa akibishana na wachezaji wa Kagera kwa ajili ya penati hiyo.
Mashabiki wa Yanga wakiwa na furaha baada ya yanga kufunga goli moja

PICHA ZOTE NA NKOROMO BLOG

No comments

Powered by Blogger.