Hawa ni abilia wakieleza namna ya ajali ilivotokea leo maeneo ya kwa Mburushi
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Deusdedit Nsimeki alie vua kofia akiwa katika eneo la tukio maeneo ya kwa Mburushi
Hii ndio pikipiki ya marehemu Steven Adam (62) yenye namba za usajili T 618 ATX
Umati wa wasafiri wakiwemo wapita njia wakiangalia ajali hiyo mbayailiyotokea leo majira ya saa moja asubuhi, (Picha na Hamza Mashole)
Bus la
Kampuni ya SAI – BABA EXPLESS lenye namba ya usajili T 690 BUW likiwa
safarini kuelekea Dar Es Salaam likitokea Songea limepata ajali leo
majira ya saa moja na nusu asubuhi maeneo ya kwa Mburushi mjini songea.
Bus hilo
limemgonga Dereva wa pikipiki (yeboyebo) ambaya ni mkazi wa Liumbu
Mletele aliejulikana kwa jina la Bw. Steven Adam (62) mfanya biashara ya
maziwa .
Marehem
Steven alikuwa akielekea mjini kupeleka maziwa yake kwa wateja ndipo
alipotwa na mahuti hayo. Kwa maelezo ya wasafiri wamesema mwenye makosa
ni dereva Pikipiki ambaye hakuwa makini barabari kwa kuendesha vibaya na
kwamwendo kasi pasipo kuzingatia sheria za barabarani.



No comments:
Post a Comment