HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TANESCO YAKAMATA YA WEZI WA UMEME MJINI DODOMA

 
Mashine ya kukoboa na kusaga ya Kikuyu Community Development ya Dodoma mjini iliyokamatwa kwa wizi wa umeme
 

 Mita iliyoongezewa waya mdogo rangi nyekundu upande wa kulia wa mita
 

Jengo la mashine ya kukoboa na kusaga ya Kikuyu Community Development, iliyokamatwa kwa wizi wa umeme(Picha na Michuzi Blog)

Kikosi cha ukaguzi cha makao makuu ya Tanesco kimeendelea na kamata kamata za wezi wa umeme hapo jana mashine ya kukoboa na kusaga ya Kikuyu Community Development ya mjini Dodoma imebambwa ikitumia nishati hiyo kwa wizi. Hawa wamekutwa wakitumia umeme usiopitia kwenye mita. Mmiliki wa mashine hakuweza kupatikana amedai yupo Dar es Salaam. Anasakwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: