
Mtoto huyu ambaye alizaliwa katika Kituo cha Afya Nyangamara wilaya
Lindi Vijijini tarehe 17/2/2013 akiwa na uvimbe juu ya pua yake ukiachia
matundu madogo chini ya pua. (Picha na Lindi Yatu)
Mtoto
huyu alihamishiwa katika Hospitali Teule ya Nyangao (CDH) na baadaye
kupewa rufaa kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili.Pia habari tulizozipata
hivi kupitia mtandao wetu zinasema tayari mtoto huyu ameisha anza
kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wake ulioko juu ya pua na hali yake
inaendelea vizuri.



No comments:
Post a Comment