Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (katikati) akigonganisha glass na
Mkurugeni wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini
wakuu wa Shindano la Miss Tanzania,Kushilla Thomas (kulia) pamoja na
Mkurugenzi wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko
Hashim Lundenga ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013/14 wakati wa tafrija mchaparo a.k.a
mkia wa jogoo (cocktail party),iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam(Picha na Othuman Michuzi)
Mkurugenzi
wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko Hashim
Lundenga akizungumza machache wakati wa wakati wa tafrija mchaparo a.k.a
mkia wa jogoo (cocktail party) ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013/14,iliyofayika usiku huu kwenye
Ukumbi wa Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam
Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (katikati) akiwa katika picha
pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro
(kushoto) na Meneja wa vilaji vha Castle Lite na Ndovu,Pamella Kikuli
wakati wa tafrija mchaparo a.k.a mkia wa jogoo (cocktail party) ya
uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania
2013/14,iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa Maqee,uliopo Serena
Hoteli,jijini Dar es Salaam
Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred (pili kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na Mamiss Tanzania waliopita,Tokea Kushoto ni Faraja Kotta,Salha
Israel pamoja na Nancy Sumary.

Mkurugenzi
wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko Hashim
Lundenga(kushoto) akiwa na jaji mkuu wa miss Tanzania Dr, Ramesh Shah (Wapili Kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Nancy Sumari na Faraja Kotta waliowahi kuwa miss Tanzania ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013/14 wakati wa tafrija mchaparo a.k.a
mkia wa jogoo (cocktail party),iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa
Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam

Redd's
Miss Tanzania 2012/13,Brigit Alfred akiwa na washiriki wenzake wa mwaka jana miss Tanzania

Wadau
No comments:
Post a Comment