HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE UCHAGUZI WA KENYA LEO


Usalama ulidhibitiwa asubuhi na mapema wakati upigaji kura ulipoanza
 

Mama na mwanawe kenye kituo cha kupigia kura
 
Karani katika kituo cha kupigia kura
   
Milolongo mirefu ilishuhudiwa kote nchini

Wapiga kura tayari kwa foleni katika mtaa wa Kibera Milolongo ya watu ilianza kuonekana saa kumi na moja asubuhi na mapema na wengine walifika katika vituo saa saaba za usiku
 
Mgombea mwenza wa Uhuru Kenyatta , William Ruto katika kaunti ya Eldoret akipiga kura mapema asubuhi ya leo.


BBC SWAHILI 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: