Hili ndilo basi aina ya Malta likiwa linaingia kwenye maji bila shida
Basi aina ya Malta likiwa linaingia kwenye maji kwa fujo.
Hapa watalii wanakula bata ndani ya maji
Gari aina ya Malta likiwa linavuka maji
Basi ili aina ya Amphibious likiwa ndani ya maji bila shida yoyote
Basi ili aina ya Amphibious likiwa linatoka ndani ya maji baada ya kuvusha watalii
Hiki ni mojawapo ya kituo cha basi aina ya Basi ili aina ya Amphibious likiwa limepaki
Huu ndio mwonekano wa ndani wa basi aina ya Amphibious linalotumika Dubai
No comments:
Post a Comment