Mchezaji wa Bayern Munich,Thomas Muller akifunga goli la kwanza kwa kichwa dakika ya 25

Mchezaji wa Bayern Munich, Mario Gomez akishangilia na wenzake baada ya kuifungia gili la pili dakika ya 49
Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben akishangilia baada ya kufunga goli dakika ya 73

Mchezaji wa Bayern Munich, Mario Gomez akishangilia na wenzake baada ya kuifungia gili la pili dakika ya 49
Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben akishangilia baada ya kufunga goli dakika ya 73
Wachezaji wa Bayern Munich,Thomas Muller akishngilia goli na Mario Gomez dakika ya 82
Messi akiwa kalala chini
Messi na Xavi wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya mechi kuisha

No comments:
Post a Comment