Katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa akihutubia wananchi wa mkoa wa Iringa hapo jana
umati mkubwa wa wananchi waliofika kusikiliza mkutano wa Chadema Leo Iringa mjini
Katibu mkuu wa chadema Dk. Slaa Akihutubia katika mkutano wa wabunge chadema waliosimamishwa bungeni,
Katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa
(kushoto) akiwa na mbunge wa jimbo la Ubungo Jonh Mnyika katika mkutano
wa wabunge wa chadema waliofukuzwa bungeni leo katika uwanja wa
Mwembetogwa mjini Iringa






No comments:
Post a Comment