David Beckham
Tangu
mechi yake ya kwanza ya Manchester United ya miongo miwili iliyopita, David Beckham mwenye umri wa miaka
38 na nahodha wa England ametangaza kustaafu kucheza soka leo baada ya kumalizika kwa msimu huu.
SOURCE :BBC World News
No comments:
Post a Comment