HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » CHELSEA YATWAA UBINGWA UEFA EUROPA LEAGUE KWA KUIFUNGA BENFICA 2-1

Oscar akipewa kadi ya njano kwenye mchezo wa fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Rafael Benitez kocha wa muda wa Chelsea akifuatilia mchezo kwa makini

Torres aliifungia Chelsea goli la kwanza dakika ya 60 kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Torres akishangilia baada ya kuifungia Chelsea goli la kwanza kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya Torres kuifungia Chelsea goli la kwanza kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea

Jorge Jesus kocha wa Benfica akilalamika kwenye fainali ya Europa League
Ɠscar Cardozo mchezaji wa Benfica akifunga mkwaju wa penati dakika ya 68 kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Wachezaji wa Benfica wakishangilia goli la Ɠscar Cardozo baada ya kuisawazishia timu yake kwa mkwaju wa penati kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
 
 Branislav Ivanovic akiifungia Chelsea goli la kichwa kwenye dakika ya 90+3 kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Branislav Ivanovic akishangilia baada ya kufunga goli la ushindi kwa Chelsea
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya Branislav Ivanovic kuifungia Chelsea goli la ushindi kwenye fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya Chelsea kushinda 2- 1 kwenye mechi hiyo ya fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Wachezaji wa Benfica wakiwa wameshika viuno baada ya kufungwa na Chelsea 2-1 kwenye mechi hiyo ya fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Rafael Benitez akishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Europa League
Frank Lampard akiinua juu kombe la Europa League
Timu nzima ya Chelsea wakipiga picha ya pamoja baada ya kufuinga Benfica 2-1 kwenye mechi ya fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kutwaa kombe la Europa League
Timu nzima ya Chelsea wakipiga picha ya pamoja baada ya kufuinga Benfica 2-1 kwenye mechi ya fainali  ya Europa League kati ya Benfica na Chelsea
Branislav Ivanovic aliyeifungia goli la ushindi akiwa ameshika kombe
Torres aliyeifungia goli la kwanza akiwa anashangilia huku kashikilia  kombela Europa League

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: