FISTULA INATIBIKA

fst e3b66
 Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Zaipora Pangani akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya fistula leo mjini Bukoba. Wa kwanza kulia ni Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacam Salum Mwalim. Wengine pichani kushoto ni Mwakilishi wa CCBRT Kasper Mmuya na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Nassor Mnambila.Maadhimisho hayo yanafadhiliwa na Vodacom, Vodafone na CCBRT
fstl1 17c09
Wakazi wa Mji wa Bukoba waliofurika kushuhudia uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya fistula uliofanywa leo mjini humo kueleka siku ya fistula duniani Mei 23. Maadhimisho hayo yanaratibiwa na kufadhiliwa na Vvodacom, Vodafone na CCBRT yakiwa na ujumbe "Fistula inatibika, jitokeza upate matibabu bila ya malipo
ftl2 e26c3
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zaipora Pangani akikabidhi funguo ya gari kwa Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA tayari kuanza safari ya kuanza Bukoba kwenda Dar salaam kupitia mikoa mbalimbali kuelimisha jamii juu ya tatizo la fistula na jinsi matibabu yanavyopatikana bila malipo katika hospitali ya CCBRT kwa ufadhili wa Vodacom. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Nassor Mnambila na Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim.Kilelele cha maadhimisho hayo kitafanyika Mei 23 siku ya fistula duniani.

No comments

Powered by Blogger.