Kamanda wa polisi mkoa wa Kinondoni Charles
Kenyela ameithibitishia Fullshangweblog kwa njia ya simu, kutokea kwa
tukio hilo , huku akisema uchunguzi zaidi unaendelea kujua chanzo cha
kupigwa risasi kwa mfanya biashara huyo
Kamanda
Kenyela ameongeza kwamba watu hao walikuwa wakinywa ndipo mojawapo
alipochukua bastola yake na kumpiga mwezake Ayoub Mlayambaye alifariki
usiku wa kuamkia leo



No comments:
Post a Comment