Mkuu wa kimila wa kabila la kigogo Lazaro Chihoma akinywa
maji yaliyochotwa kisima cha Bwibwi kilichopo Kijiji cha Iyubu Manispaa
ya Dodoma, Kisima hicho kinachoaminika ni cha maajabu na mtu anayetumia
maji yake hupata Mafanikio ya kiafya na kimaisha.
Baadhi ya wananchi wakifurahia kutumia maji yanayopatikana
kisima cha Bwibwi kilichopo katika kijiji cha iyumbu Manispaa ya Dodoma,
kisima hicho kilichovumbuliwa katikati ya miaka 1,800 kiko katika
hatihati ya kufukiwa na eneo hilo lituumike kwa matumizi mengine.
PICHA NA JOHN BANDA WA PAMOJAPURE
No comments:
Post a Comment