Moja ya sababu
anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi..
Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
“Three reason why i can’t do
lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract pays me better than.No.2
I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu
yananishinda naona nieupushe shari…No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu
……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same
shit.”
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo.
No comments:
Post a Comment