
Matundu matatu ya risasi katika kioo cha gari lililovamiwa na majambazi.
Pichani ndio matundu
ya risasi zilivyorindima kwenye kioo cha dereva (risasi tatu) na
kushoto risasi moja kama kionekanavyo kioo cha juu,mara majambazi hayo
kufanikiwa kumjeruhi dereva sehemu ya bega na kufanikiwa kunyakua begi
linalosadikiwa kuwa,lilikuwa na kiasi cha fedha shilingi milioni 40 na
kutokomea nazo.

Wanausalama barabarani wakichukua taarifa eneo la tukio.
Majambazi yaliyokuwa na silaha aina ya SMG yakiwa na pikipiki aina ya Bajaj Boxer yamevamia gari ndogo aina ya VITZ N a kuwajeruhi watu wawili wenye asili ya asia na kupora kiasi cha shilingi milioni 40 .Tukio hili llimetokea Sayansi-Kijitonyama jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment