Mwanamitindo Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi ya wananchi waliopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita katika ajli ya MV Bukoba.
Flaviana
Matata akiwa na Baba yake mzazi katika misa ya kumbukumbu ya ajali ya
MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma jijini
Mwanza.
No comments:
Post a Comment