PICHA YA LEO: MAMA NA MTOTO WAMEFUNGA NDOA SASA YAPATA MIAKA KUMI HUKO SONGEA

Joseph Mapunda mwenye umri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mtoto wake Joseph Mapunda.

No comments

Powered by Blogger.