Wanachama wa Umoja wa Vijana wa CCM (UV-CCM), wanaomuunga mkono
Mwenyekiti mpya wa Taifa wa Umoja huo, Khamis Sadifa Juma na viongozi
wenzake, wakimtwanga mmoja wa wanachama waliojitokeza kumpinga
mwenyekiti huyo kwa mabango(wa pili kushoto), wakati alipowasili makao
makuu ya umoja huo Dar es Salaam jana, akitokea mkoani Dodoma
alipochaguliwa kushika nyadhifa hiyo. Picha na Rafael Lubava
Kundi linalodai kuwa viongozi wapya wa UVCCM wametumia rushwa, limewapokea kwa ugomvi viongozi wapya leo waliporejea Dar es Salaam kutokea Dodoma.



No comments:
Post a Comment