HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATANZANIA WENZANGU ANGALIA HIVI VIPAJI VILIVYOFICHIKA WANAHITAJI SUPPORT KUTOKA KWENU WADAU

  Mmoja wa Group la King of Shayo akionesha uwezo wake kwenye viwanja vya Coco Beach wakionesha mambo yao. Hili group la King of Shayo linapatikana maeneo ya Kinondoni, Amanasifu  na unaweza kuwasiliana nao kwa simu ya Omary ni namba (0657056733) au Kassim namba yake ya simu ni 0652543256. (Picha na Pamojapure Blog)
 Hapa kazi ikiendelea
 Hapa ilikuwa ni raha kwa kwenda mbele maana hakuna kwenda sehemu yoyote nje ya nchi kila kitu unakipata Tanzania
 Kazi ikiendelea
 Huu ni huwezo binafsi  wadau kazi ni kwnu maana vijana wameonesha fursa kikubwa ni kuwaunga mkono katika sanaa yao wanayoifanya nchini Tanzania
 Kazi inaendelea
 Group la King of Shayo wakiwa kazini kwenye viwanja vya Coco Beach wakionesha mambo yao
 Hili ndilo group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja
Group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmiliki wa blog ya pamojapure(wa kwanza kulia)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: