Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi na Waumini wa
Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa
pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani
hapo May 6,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisisitiza jambo kwa Viongozi na Waumini wa
Kanisa Katoliki la Olasiti Jijini Arusha May 7,2013 alikokwenda kutoa
pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono uliotokea kanisani
hapo May 6,2013 na kusababisha vifo na majeruhi.
Paroko wa Kanisa Katoliki la Olasiti la Arusha Peddy Castelino
akiomba wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipotembelea kanisa hilo May
7,2013 kutoa pole kufuatia mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono
uliotokea kanisani hapo May 6,2013 na kusabisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Paroko wa Kanisa Katoliki
la Olasiti jijini Arusha, Peddy Castelino (kulia) May 7,2013 wakati
alipotembelea kanisa hilo May 6,2013 ambako ulitokea mlipuko wa bomu la
kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na majeruhi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia sehemu lilipodondoshwa bomu hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa Pole Askofu wa Jimbo Kuu la
Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu (kushoto ) na Balozi wa Vatican nchini,
Askofu Mkuu, Francisco Montecillo (katikati), May 7,2013 baada ya
kutembelea Kanisa Katoliki la Olasiti jijini Arusha ambako May 6,2013
ulitokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono na kusababisha vifo na
majeruhi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
No comments:
Post a Comment