HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI MKOANI DODOMA KWENYE KAMPENI YA FISTULA INATIBIKA.

Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii na Watoto Ummy Mwalimu akiselebuka Wakati wa kampeni Dhidi ya ugonjwa wa Fistula zilizofanyika jana katika viwanja vya Nyerere [Nyerere Squere] Dodoma  kulia ni Mjumbe Wa kamati ya Bunge ya Maendelea ya jamii Mhe.Ritta Kabati na Kushoto ni Balozi wa Vodacom Nchini na msaani wa Muziki wa kizazi Kipya Mwana F A
 Akiendelea kutoa neno
Balozi wa Chapa Vodacom, Mwana FA, akiwahamasisha wakazi wa Dodoma kuunga mkono kampeni ya kumaliza tatizo la fistula ifikapo mwaka 2016 inayofadhiliwa na Vodacom na Vodafone ya Uingereza kupitia hospitali ya CCBRT.
 Msanii wa Mziki wa Kizazi Kipya Mwana FA akicheza sambamba na Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii na Watoto Ummy Mwalimu na Mbunge Wa Tabora Mjini Mhe. Aden Rage wakati wa kampeni za Ugonjwa wa Fistula zilizofanyika katika Viwanja vya Nyerere Squere Jana.
 Balozi wa Chapa Vodacom, Mwana FA akendelea kuwaburudisha wakazi wa Dodoma

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: