HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BREAKING NEWZZZZZZ:MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APIGWA NA KUJERUHIWA VIBAYA


Mbunge waArumeru Mashariki, Joshua Nasari muda huo amepigwa na kujeruhiwa vibaya damu zinatoka Puani, amepigwa na vijana wa kisomali, katika eneo la Zaburi kata ya Makuyuni Jimbo la Monduli, Taarifa za awali zinasema baada ya Nassari kuondoka na gari jingine, waliokuwa wanafuatana na yw walienda kujibana sehemu.
Kiongozi wa chadema aliyetambulika kwa jina la Teddy Ndossi na dereva wa Nassari Guardian  Palangyo amepigwa mdomoni amevunjwa meno mawili na kwa sasa wamempiga Katibu wa Chadema wa eneo ilo anayeitwa Kilongola, wapo kituo cha polisi Makuyuni kutafuta msaada zaidi 

Picha na taarifa yote zitawaijia baadae








HABARI NA FRANCIS DANDE(HABARI MSETO)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: