
Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki,mungu mjalie ndugu yetu umpe nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.

Ndog wakijaribu kumbembeleza kula baada ya kukataa kula

Mazishi ni leo saa 10 katika makaburi ya Mburahati, kuanzia asubuhi saa 5 kutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama Barnabas.



No comments:
Post a Comment