Hii ndio benki kuu ya Tanzania ikiwa na mwonekano wa tofauti na majengo mengine
Makao makuu ya mawasiliano ya Baharini
Magorofa yakiendelea kujengwa na kuupendezesha jiji la Dar es Salaam
Inavyosemekana jengo ili likimalizika uenda ndo likawa ndo jengo refu kuliko yote maeneo ya Posta katika jiji la Dar Es Salaam
Meli ikiwa inashusha mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam
Jengo la Benki kuu ya Tanzania (B.O.T)
Jengo la Utumishi
Soko la samaki lililopo Feri jijini Dar es Salaam kama unataka samaki wa aina yeyote anayepatikana bahari ya Hindi utamkuta hapa
Wavuvi wakiwa kazini
MV Kigamboni inayotumika kuvusha watu na mizigo kutoka Feri mpaka Kigambi ikiwa inashusha abiria waliokuwa wanatoka katikati ya jiji la Dar Es Salaam
No comments:
Post a Comment